Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,786 Nov 15, 2023 #1 Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu .
Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu .
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,742 Nov 16, 2023 #2 Mavindozii said: Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu . Click to expand... Una uliza swali?au unayo hayo maradhi ili upatekutibiwa maradhi yako? Mbona sijakuelewa hebu funguka zaidi.
Mavindozii said: Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu . Click to expand... Una uliza swali?au unayo hayo maradhi ili upatekutibiwa maradhi yako? Mbona sijakuelewa hebu funguka zaidi.
Ligaba JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 1,071 Reaction score 2,889 Nov 18, 2023 #3 Herbalist Dr MziziMkavu said: Una uliza swali?au unayo hayo maradhi ili upatekutibiwa maradhi yako? Mbona sijakuelewa hebu funguka zaidi. Click to expand... Mkuu wewe unatibu kisukari mgonjwa akapona na kula vyakula bila masharti?
Herbalist Dr MziziMkavu said: Una uliza swali?au unayo hayo maradhi ili upatekutibiwa maradhi yako? Mbona sijakuelewa hebu funguka zaidi. Click to expand... Mkuu wewe unatibu kisukari mgonjwa akapona na kula vyakula bila masharti?
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,742 Nov 30, 2023 #4 Ligaba said: Mkuu wewe unatibu kisukari mgonjwa akapona na kula vyakula bila masharti? Click to expand... Ndio ninatibu Ugonjwa wa kisukari kwamuda wamiezi 3 na mgonjwa atakula chakula chochote pasipo na masharti.
Ligaba said: Mkuu wewe unatibu kisukari mgonjwa akapona na kula vyakula bila masharti? Click to expand... Ndio ninatibu Ugonjwa wa kisukari kwamuda wamiezi 3 na mgonjwa atakula chakula chochote pasipo na masharti.
Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,786 Dec 9, 2023 Thread starter #5 Ndio mkuu Nina Kisukari type 2,bei ya dawa mkuu
V Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,006 Reaction score 60,104 Dec 9, 2023 #6 Mavindozii said: Ndio mkuu Nina Kisukari type 2,bei ya dawa mkuu Click to expand... Type 2 dawa yake ni kutokula vyakula vya sukari na kufanya mazoezi.
Mavindozii said: Ndio mkuu Nina Kisukari type 2,bei ya dawa mkuu Click to expand... Type 2 dawa yake ni kutokula vyakula vya sukari na kufanya mazoezi.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,881 Dec 9, 2023 #7 Herbalist Dr MziziMkavu said: Ndio ninatibu Ugonjwa wa kisukari kwamuda wamiezi 3 na mgonjwa atakula chakula chochote pasipo na masharti. Click to expand... Fix
Herbalist Dr MziziMkavu said: Ndio ninatibu Ugonjwa wa kisukari kwamuda wamiezi 3 na mgonjwa atakula chakula chochote pasipo na masharti. Click to expand... Fix
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,165 Reaction score 8,959 Dec 11, 2023 #8 nlisikia mahali wanasema km una kisukari basi kaa mbali sana na misosi ya wanga fanya mazoezi usibweteke kaa mbali sana na chumvi na sukari punguza uzito kama una uzito uliopitiliza kaa mbali na matumizi yakupitiliza ya mafuta kwenye misosi pata mbogamboga/matunda na vituvitu vya asili pole sana
nlisikia mahali wanasema km una kisukari basi kaa mbali sana na misosi ya wanga fanya mazoezi usibweteke kaa mbali sana na chumvi na sukari punguza uzito kama una uzito uliopitiliza kaa mbali na matumizi yakupitiliza ya mafuta kwenye misosi pata mbogamboga/matunda na vituvitu vya asili pole sana
Tempus Fugit JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 850 Reaction score 2,216 Dec 11, 2023 #9 Kisukari kinaweza kutibika kwa ketogenic diet.
S sportstore JF-Expert Member Joined Apr 5, 2023 Posts 553 Reaction score 1,916 Dec 11, 2023 #10 Tumia dawa za hospitali , acha wanga KABISAAAAAA, pombe etc kama unapumzi ya kukimbia fanya hilo zoezi..wiki mbili tu diabete type 2 imeondoka
Tumia dawa za hospitali , acha wanga KABISAAAAAA, pombe etc kama unapumzi ya kukimbia fanya hilo zoezi..wiki mbili tu diabete type 2 imeondoka
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,719 Reaction score 4,305 Dec 11, 2023 #11 Tempus Fugit said: Kisukari kinaweza kutibika kwa ketogenic diet. Click to expand... Ketogenic diet ndo ikoje
Tempus Fugit said: Kisukari kinaweza kutibika kwa ketogenic diet. Click to expand... Ketogenic diet ndo ikoje
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,829 Reaction score 40,372 Dec 11, 2023 #12 Huu uzi ni mzuri
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,679 Reaction score 7,109 Dec 11, 2023 #13 Kaka mavindoz hebu mcheki DK Berg YouTube utapata suluhisho la tatizo lako. Hopefully English inapanda .
Kaka mavindoz hebu mcheki DK Berg YouTube utapata suluhisho la tatizo lako. Hopefully English inapanda .
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,679 Reaction score 7,109 Dec 11, 2023 #14 View: https://youtu.be/ek5F1mGq4-4?si=HKHfgQJD6Md3p-YF
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,679 Reaction score 7,109 Dec 11, 2023 #15 View: https://youtu.be/NQXGXfpV9d0?si=b_5jlBCV4g6_LHGQ
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,679 Reaction score 7,109 Dec 11, 2023 #16 View: https://youtu.be/ij1Vafu4Wh8?si=3YOOGRsErLzyQijd
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,679 Reaction score 7,109 Dec 11, 2023 #17 I hope hizo video links za YouTube zitakusaidi mkuu,kila la heri.
LOGORIDDIM JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 1,599 Reaction score 1,142 Dec 12, 2023 #18 Tumia juice ya ubuyu... Asubuhi na jioni. Bilauri moja moja. Utakuja kunishukuru. Unachemsha ubuyu kisha unachuja na kuhifadhi ktk jokofu.
Tumia juice ya ubuyu... Asubuhi na jioni. Bilauri moja moja. Utakuja kunishukuru. Unachemsha ubuyu kisha unachuja na kuhifadhi ktk jokofu.