Naomba nielimishwe, ugonjwa wa chango unaitwaje kwa kiingereza? Naweza kupata ufafanuzi kidogo kuhusu ugonjwa huu? Maana utasikia mtu tumbo likiunguruma wanasema ni ugonjwa wa chango ambao kwa akina mama husababisha eti wasibebe mimba.