EngineerLMG
Senior Member
- Nov 28, 2013
- 125
- 75
Dogo kalale ukue.as I said..... by 8th Sept all of EAC including TZ will be a signatory to the EPA
Wewe endelea kuropoka hapa ila jua maamuzi yetu Tz hayawezi badilishwa kwa lobbying ya nchi yoyote ya EA.as I said..... by 8th Sept all of EAC including TZ will be a signatory to the EPA
Lazima mpate lobbyists from Western countries, eh? Hamjidhamini, buda.Wewe endelea kuropoka hapa ila jua maamuzi yetu Tz hayawezi badilishwa kwa lobbying ya nchi yoyote ya EA.
Hivi na akili zako unaona EPA ni ya faida sana? Tanzania haitakia kusign EPA si kwa sababu tunashindana na Kenya bali MKATABA (Contract ) sio mzuri bali wa kinyonyaji. Hivi hata kama ni wewe Tanzania tuna sera ya kuanzisha viwanda halafu uwaachie wazungu wadamp bidhaa ndani ya nchi yako kwa bei rahisi at wewe ukauze kwa wakati huna cha kuuza. Hawa washezi wa ulaya sijui wanatuchulia vipi? Tuamke... mimi nahisi kuna baadhi ya viongozi wa Africa wanapewa rushwa na wazungu ili wasign huo mkataba. Sikatai Kenya mnauza maua free lakini ni viwanda vingapi vitakufa kwa sababu ya EPA?Dadadeki zenu, nilisema ni mwendo wa kuwaburuza kwa pua, tena mkome. Hamna nchi ya kuitunishia misuli Kenya kwenye Afrika yote tunasema na inatendeka.
as I said..... by 8th Sept all of EAC including TZ will be a signatory to the EPA
Dadadeki zenu, nilisema ni mwendo wa kuwaburuza kwa pua, tena mkome. Hamna nchi ya kuitunishia misuli Kenya kwenye Afrika yote tunasema na inatendeka.
Hivi na akili zako unaona EPA ni ya faida sana? Tanzania haitakia kusign EPA si kwa sababu tunashindana na Kenya bali MKATABA (Contract ) sio mzuri bali wa kinyonyaji. Hivi hata kama ni wewe Tanzania tuna sera ya kuanzisha viwanda halafu uwaachie wazungu wadamp bidhaa ndani ya nchi yako kwa bei rahisi at wewe ukauze kwa wakati huna cha kuuza. Hawa washezi wa ulaya sijui wanatuchulia vipi? Tuamke... mimi nahisi kuna baadhi ya viongozi wa Africa wanapewa rushwa na wazungu ili wasign huo mkataba. Sikatai Kenya mnauza maua free lakini ni viwanda vingapi vitakufa kwa sababu ya EPA?
Kama sikosei kuna kiwanda kimoja Kenya hivi majuzi kimesema hakiwezi kuzalisha tyres hapo kwa sababu ya gharama hayo ni mafhara ya EPA. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17461853
Tusije na ushabiki tu hapa. Kumbuka wazungu hawataki tuendelee na kugombana kwetu ni mtaji kwao
I am sure with your growth rates you will be a mid income country in 5 years maybe, yet am not so sure your industrial revolution will be that fast. even if it is the fruits won't be, so it is counterproductive not to sign the deal. I actually think if you sign you will get there faster, since you can work harder sell more, get the necessary revenue and grow.Acha vioja kama mwanamke uje na hoja nzito sio michapo oh siju hiki sijui kile....
Nijibu hoja yangu je EPA ina faida gani kwa Kenya na hasara gani. Please list them down, achana na umbea sijui tz wanaburuzwa au wanajifungia hilo sio jibu la msomi kama ww. Ni afadhali anaekataa kuliwa lakini anakufa kiume kuliko wewe unakubali kuliwa halafu halafu wanakupa makapi
I am sure with your growth rates you will be a mid income country in 5 years maybe, yet am not so sure your industrial revolution will be that fast. even if it is the fruits won't be, so it is counterproductive not to sign the deal. I actually think if you sign you will get there faster, since you can work harder sell more, get the necessary revenue and grow.
Acha vioja kama mwanamke uje na hoja nzito sio michapo oh siju hiki sijui kile....<br />Nijibu hoja yangu je EPA ina faida gani kwa Kenya na hasara gani. Please list them down, achana na umbea sijui tz wanaburuzwa au wanajifungia hilo sio jibu la msomi kama ww. Ni afadhali anaekataa kuliwa lakini anakufa kiume kuliko wewe unakubali kuliwa halafu halafu wanakupa makapiUchumi wa leo lazima ukubali kuliwa ndio ule, tatizo lenu huwa mnajifungia na bado mnaliwa tu, hauwezi kuwa nchi ya viwanda huku unaogopa ogopa na kujifungia fungia ndani. Lazima uachie ila unakua makini.
Sisi Wakenya tutawaburuza mpaka fika. Nchi yetu tupo kwenye level nyingine, tatizo tumezungukwa na majirani wanaotaka kuburuzwa muda wote kwa jinsi walivyo wazembe. Nchi yenu hiyo haitakua ya viwanda kwa kuongea ongea hayo maneno mengi ya kiswahili, mfanye kwa vitendo.
Rais wenu naona kama yupo tayari kufanya, ila mnamkwamisha kwa uswahili mwingi tu.
sasa unaita wenzako wajinga alafu we mwenyewe unaharibia mara dufu... hayo ya maua tueke kando, ni ya badae. kwanza sameer imefunga kwasabavu ya cheap imports kutoka china wala si EU. Tz mnajifanya kuzuia, hebu niambieni, ni bidhaa ghani wachina hawana ndani ya tz au EAC kwasababu hau hufanya subsidies kwa bidhaa zao ili wauze bei rahisi????Unaandika ujinga tu na mambo usiyoyaelewa! Kenya haina competitive industry yoyote ile ya kuuza EU isipokuwa Maua industry ambayo ni 100% foreign owned hivyo Wazungu wanataka kuuza Maua yao tax free na hamna kitu Kenya itapata kwa maana kama ni ajira Maua industry ni cheap labor, lkn Kenyan industries zenyewe haziwezi ku compete hata Sameer industries anafunga manufacturing industries Kenya in favor of distributing imported goods from abroad na hapo bado EPA haijasainiwa ...