Ubunifuuuuuu


.......................................................
 

................................................................................
 
Wabunifu wa kuchemsha kahawa kwenye pasi na ATM ilibidi wapewe zawadi wakati wa may mosi,
Ila umechelewesha kuwaleta.
Any way tutampelekea Bwana makamba kwenye wizara yake mpya.
 
Wabunifu wa kuchemsha kahawa kwenye pasi na ATM ilibidi wapewe zawadi wakati wa may mosi,
Ila umechelewesha kuwaleta.
Any way tutampelekea Bwana makamba kwenye wizara yake mpya.
yaaa, nimejaribu hapa lkn umeme bado ni wa aliyekuwa ngeleja
 
Reactions: tz1
@Amavubi mkuu hii itakuwa ni huko Asia india au Africa sio Ulaya.:teeth:

Mimi naona kama ni South America, kuna miujiza hukoo....hapo mzee anakinga jua lisipige kwenye ATM, bibimkubwa haoni kwa ajili ya reflection ya jua.
 
King2, soma my comments hapo juu na acha kulalalala 🙂
 
Last edited by a moderator:
Hii Tanga nini,naona kama kungu.......!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…