A three bedrms dsgn
Mafundi wapo, ni wewe tu kumudu gharama zao
hizo namba ulizoziweka (12x14) na 20x20 ziko kwenye vipimo gani, cm, foot au meter?Two in one design; kuna master moja na single moja, dining, sitingroom, kitchen na public toilet. Ukubwa wa 12 kwa 14 inafiti katika plot ya 20x20, design nzuri kwa kupangisha.
Kwa matumizi sahihi ya plot yako, jenga za two in one au three in one, punguza gharama za ujenzi pia.
Vipimo katika mita
two in one design; kuna master moja na single moja, dining, sitingroom, kitchen na public toilet. Ukubwa wa 12m x14m inafiti katika plot ya 20x20m, design nzuri kwa kupangisha.
Kwa matumizi sahihi ya plot yako, jenga za two in one au three in one, punguza gharama za ujenzi pia.
Ok hebu nieleweshe kidogo hiyo two in one una maana upande mmoja kuna nini na nini na upande mwingine una nini na nini?
mkuu asante kwa majibu,japo naona kama UMEENDA MBALI SANA,kama ambavyo umetuwekea two in one hapo juu, nilikusudia utuwekee sample ya three in one kama ulivyoweka hapo juu, that's all other wise asante tena kwa majibu.Naam, ukishaona jinsi kazi inavyotoka...... Yap, na pengine hitaji lako ni appartiment au hiyo three in one, basi una toa order kwa utaratibu uliopo kisha tunakufanyia design upendavyo wewe. Hivo ukisema weka design "y" tuone inaonekanaje au ndio nikupe order,,,,,, Oooh!!! Architecture can't be practised in such a way....... Leta idea unataka kazi iweje mtaalamy ayaboreshe mawazo yasko kivitendo zaidi,.... Hapo i mean technical design zinatofautiana, na kwamba hatujui kazi yako iwe na radha ipi!?