Habari,
Je unataman kumilik ardhi na hujui utaipata wap?Karib kwetu tukusaidie update ardhi nzuri kwa bei nafuu kabisa
tunauza Viwanja na Mashamba,
VIWANJA
vipo KIGAMBONI
-kimbiji Golani (milioni 1)kwa sqm 400
-kimbiji kwa chale (beach 2)
Vinaanzia milioni 4 na laki 8
-pembemnazi - buyuni (beach 1 plot)
Vinaanzia milioni 12.5
MASHAMBA
1.wilaya ya bagamoyo(miono)
kila heka moja 400,000
Km 7 kutoka barabarani
Barabara ime chongwa
Linafaa kwa kilimo na ufugaji.
mazao yanayokubali
*mahindi
*mihogo
*nanasi
*ufuta
*Nazi
*Miembe
*korosho
*pilipili
*matikiti
NB: miono ipo mbele ya msata,ukivuka msata unaingia kulia kama unakwenda sadan
2.Bagamoyo- kidomole
Kilometa 2 kutoka barabara kubwa
Upande wa kulia
ZIPO Bagamoyo kwa mbele kama unaenda msata...
Kilometa 10 kutoka Bagamoyo Mjini
BEI NI MILIONI 1 KWA HEKA ..
Ni pm kwa mawasiliano