Tunauza vitu vya urembo

saidaty

Senior Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
193
Reaction score
162
Rachel online moving shop,nakuletea hereni kwa bei poa,heren nzuri za kisasa,unavaa popote iwe kwenye sherehe,kazini,kanisan n.k
Na unavalia nguo yyt.
Bei:tsh.6,000 kwa pear

Cal/watsap:+255 767-562153 or +255 678-335833

Pia kwa jumla tunauza
Dar nakuletea ulipo,mikoani natuma kwa uaminifu mkubwa.
Kwa picha zaidi
Instagram @Rachael_gerson
Facebook. Rachel gerson
KARIBU
 
HIZI SH.1500 PEAR 1
KWA BEI YA JUMLA ZINAPATIKANA PIA
KARIBU
 
Sasa hizi ungeendeleza kwenye ule uzi wako wa vizibo vya asali ili iwe ni kama duka utangaze bidhaa ulizonazo zote. Au kila bidhaa uliyonayo utaianzishia uzi wake?
 
Sasa hizi ungeendeleza kwenye ule uzi wako wa vizibo vya asali ili iwe ni kama duka utangaze bidhaa ulizonazo zote. Au kila bidhaa uliyonayo utaianzishia uzi wake?
uzi wa kifuniko cha asali ni wa Daby au ID zote zake ?
 
Sasa hizi ungeendeleza kwenye ule uzi wako wa vizibo vya asali ili iwe ni kama duka utangaze bidhaa ulizonazo zote. Au kila bidhaa uliyonayo utaianzishia uzi wake?
Nilitaka nifanye hvy lkn nimetafuta siuon,au cjui jins ya kutafuta maana nimehangaika mpk chaji ikawa inaisha
 
Nilitaka nifanye hvy lkn nimetafuta siuon,au cjui jins ya kutafuta maana nimehangaika mpk chaji ikawa inaisha
 
Ahsante sana,ubarikiwe
 
Hizi nzuri sana walah though sijatoboa
 
Nikimpata wa kuzivaa ntakutafuta..
 
Umetoboa kimaisha inatosha mke..Haya matobo mengine waachie wengine..
cha ajabu hata maisha sijatoboa, pengine ni kwa sababu sijatoboa matobo mengine yanayotakiwa kutobolewa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…