Maelezo naona kama hayajitosheleza, ama mimi sikuelewa, umesema solar ya kisasa, hujaanisha kinachotofauti hiyo solar yako na solar zingine, mpaka ionekane ya kisasa, na kigezo cha ukisasa, ni pamoja kuwa rahisi zaidi kwenye matumizi. Pia hujaweka bei, msawishi kwanza mteja kwa kuelezea bidhaa yako, bei yake ndipo mtu asiweshike kukutafuta kwa simu, biashara haijielezi vizuri, mteja ataona bora aende kariakoo akatafute mwenyewe na ajibembeleze apunguziwe bei, ni ushauri tu, vinginevyo nikuuombe biashara njema yenye mafanikio.