Ahsante kwa Taarifa Zumbe, lakini ungeongeza nyama kidogo kwenye Tangazo lako, mfano umesema lipo Wilaya ya Handeni, Je, Mji au Vijijini? Lipo karibu na Kijiji gani kikubwa au maarufu? Kutoka kwenye barabara kubwa mathalani Mkata hadi huko lilipo ni umbali kiasi gani? Weka na bei kwa Ekari au lote ikibidi, Nakadhalika..,
Nikutakie kila lakheiri katika biashara yako...!!!