muuza ugoro
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 334
- 61
Kuhusu bei, Njoo PMungeweka na bei kbs hapa hapa tujue
Hapa ndo Mtanzania ananiacha hoi....Kuhusu bei, Njoo PM
sitaki threesome mm mkuu !lol !Kuhusu bei, Njoo PM
Umejuaje kama mleta mada ni mtanzania?Hapa ndo Mtanzania ananiacha hoi....
Unashindwaje kuweka bei hapa? Ni kuhusu Drugs?
Hata kama nyie ndo mko wawili?s
sitaki threesome mm mkuu !lol !
Hata kama nyie ndo mko wawili?
Unoko umeuanza lini?hahahaha muone !nitakusemelea kwa mkeo ohooo
Hivi ukuta unahitaji maandalizi gani kabla ya kuweka wallpaper? Na wallpaper SQM moja bei gani?Tunauza na kubandika wallpapers majumbani, ofisini, cafè, dukani, saloon, etc.
Wallpaper zetu ni za materials za hali ya juu (grade 1) ngumu ambazo zinakaa miaka 8 na kuendelea.
Tuna design nyingi na mafundi walio wazoefu kwa kazi ya kubandika.
Bei ni nafuu mno mpaka tunashangaa unakosaj sasa.
Acha na rangi amia kwenye wallpaper uweze pata mwonekano mzuri wa nyumba yako
Namba zetu ni 0715490570
Tupo Ubungo riverside
Facebook na insta page; perfect delight wallpapers
Wasiliana kwa simu jamani, comment zaweza chelewa kujibiwa.
Watanzania wengi ndo hatujui kuhusu Marketing!Umejuaje kama mleta mada ni mtanzania?
Au unadhani mimi ndo mleta mada?
Mleta mada na aliyesema muende PM ni watu wawili tofautiWatanzania wengi ndo hatujui kuhusu Marketing!
Mbona mleta mada hakuna sehemu aliyosema bei atakupea PM?Wabongo cjui Nani katuloga...tangazo hadharani ukiuliza bei njoo PM what for????