Jipatie ZENADO HONEY, ni Asali bora inayo fanyiwa parkeging na Kampuni ya MKONDO INTERNATIONAL FOOD AND HONEY SUPPLIES LTD. ZENADO HONEY ni Asali bora iliyokidhi viwango vya kimataifa. Kwa mahitaji ya jumla na rejareja tupigie kwa No. 0745555110/0658128818 au fika ofisi zetu zilizopo Ilala Boma Jengo la Mwalim House, floor 3.
Pia niwauzaji wa mazao ya kilimo kama Mahindi, Mchele, Maharagwe, Korosho na bidhaa zingine. Ndani na nje ya nchi.
Mkuu, tangazo lako ni zuri ma limevutia sana.
Lakini kwanini waTanganyika wengi mnapo tangaza bidhaa/biashara haumpendi kuweka bei..??
Hii hali inatokana na kutokujiamini ama inatokana na nini..!!