Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Yadi!
Tunatafuta Open Yard ya kununua katikati ya jiji la Dar es Salaam. Yard iwe katika maeneo haya: Vingunguti, Kiwalani, Kipawa.
Isizidi kilomita 1 kutoka barabara kuu.
Zingatio: Barabara ya kuelekea kwenye eneo iwe na uwezo wa kupitisha Magari Makubwa.
Tunatafuta Yadi iliyowazi yenye Hati na ukubwa wa 5000-6000sqmtrs.
Bajeti ya Mteja: Tzs 1B.
Ikiwa una Yadi au eneo inayofaa ambayo inakidhi vigezo hivi tafadhali wasiliana nasi haraka iwezekanavyo!
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited