Tunakulagaaa

Haha! Haya mambo haya utajua la kufanya yakikukuta
 
Tangu lini kimoko kikawa cha afya? Ukipiga kimoko,wewe una tatizo la kiafya.
Kwani kupiga nyingi ndy uzima?unawezapiga KIMOJA kikawa zaidi ya hizo SITA ulizopiga...muhimu ni DOZI MUJAARABU....sasa unapiga sita lakini ukijumlisha muda uliokaa MCHEZONI ni DAKIKA 15.maana yake kila dakika 2:30 wewe UNAPIGA GOLI MOJA..tena HUKU UKIPIGA MAYOWE kana kwamba WEWE NDY UNAYETAFUNWA......na anayepiga MOJA anakaa 45 MCHEZONI...sasa sita zinafaida gani...
 
mwe! nadhani hao wanafanya mchezo wa kuigiza sio kweli
 
Povu shazi.....sijasema lazima upige bao 6 ila bao moko sio mwana.
Kubali kataa lkn ukweli ndo huo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…