Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

tamthilia zote zipo youtube search novelas zitakuja kibao full episode au telemundo au televisa zote ni account zinazoweka tamthilia youtube
 
Jamani nitapataje ule wimbo unao ibwaga kwenye hii tamthilia ta star TV (tomorrow belong to me)
 
Naitafuta ile ya the long wait..enzii za akina boris ... Yurii ...red butterfly mwenye nayo plz naomba ani inbox
Duuuu umenikumbusha mbali Boris Yuri enzi izo na TBC wanaonesha tamthilia
 
Aah
The promise ilikuwa hataro na the long wait enzi hizo

Kuna majo walionesha star tv ilikuwa inaitwa timeless hatareeee
 
Reactions: PNC
 
HAhahah...wadau mumenikumbusha mbali kidogo. kuna tamthilia ilikuwa inarushwa TVT enzi hizo kwa sasa tbc, The Relevancha; The Revenge kwa kizungu. nyingine ilikuwa inaitwa La tormenta, akina santos torealba na Teresa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…