PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 37
hehehe ngoja wenyewe wajeHapo kwenye kuingiziwa dole hapana......yaani na teknolojia zooote dunia hakuna kipimo rasmi hadi upigwe dole kamanda mzima kama mimi?
Wana Jamii Forum wenzangu, ninawasihii tufanye check up za afya mara kwa mara, yaani Physical Check-Up. Hapa USA tunafanya kila mwaka. Kama kuna tatitzo la afya wanaweza kuwahi kutibu kabla hali haijawa mbaya hadi kutishia maisha yako.
Nimeshituka sana kuona Rais wetu mepndwa JK, ameletwa hadi USA kufanyiwa surgery ya Prostate. Nafahamu wengi waliofanyiwa prostate surgery Tanzania na wanaendelea vizuri tu. Lazima hali ya mheshimiwa ilikuwa si nzuri. Labda kachelewa.
Kupima Prostate inabidi daktari aingize kidole huko nyuma kwenye (anus). Najua wengi hatufurahia hiyo. Na fikiria, unamtia kidole Rais. :A S 13:
Na kwa akina dada uke lazima upimwe kuhakikisha hakuna kasoro kama kansa pia. Nao wanaigiza vyuma huko kucheki Kizazi.
Kazi ipo wenzangu! Lakini ili tuishi maisha mazuri enye afya ni bora tukapime!
We utakuwa umetoroka mirembe wewe, sio bure, unashusha hadhi ya jukwaa..
mtoa mada, asante kwa ushauri, ila naomba kusaidiwa mambo yafuatayo kama utayaweza.
1.kwanza ugonjwa kama huu ulio msumbua mheshimiwa rais, unasababishwa na nini?
2.Pili ni dalili gani mgonjwa anaweza kuzipata akiwa na ugonjwa huo?
3.Mwisho ungonjwa huo ni mbaya sana kiasi kwamba mtu akizembea unaweza kuleta madhala makubwa? na kama ni ndio ni madhala gani? tatizo uku bongo siasa nyingi habari za afya zetu hatuzingatii sana!!
Wana Jamii Forum wenzangu, ninawasihii tufanye check up za afya mara kwa mara, yaani Physical Check-Up. Hapa USA tunafanya kila mwaka. Kama kuna tatitzo la afya wanaweza kuwahi kutibu kabla hali haijawa mbaya hadi kutishia maisha yako.
Nimeshituka sana kuona Rais wetu mepndwa JK, ameletwa hadi USA kufanyiwa surgery ya Prostate. Nafahamu wengi waliofanyiwa prostate surgery Tanzania na wanaendelea vizuri tu. Lazima hali ya mheshimiwa ilikuwa si nzuri. Labda kachelewa.
Kupima Prostate inabidi daktari aingize kidole huko nyuma kwenye (anus). Najua wengi hatufurahia hiyo. Na fikiria, unamtia kidole Rais. :A S 13:
Na kwa akina dada uke lazima upimwe kuhakikisha hakuna kasoro kama kansa pia. Nao wanaigiza vyuma huko kucheki Kizazi.
Kazi ipo wenzangu! Lakini ili tuishi maisha mazuri enye afya ni bora tukapime!
Asante kwa maswali, na ninafurahi kuona mnajali afya zenu.
Mwanaume yeyote anaweza kupatwa na matatizo ya Prostate, uzuri ukiwahi unaweza kutibiwa na kuendelea kuishi maisha marefu eneye afya. Ukichelewa kutibiwa unaweza kufa. Wanaume wengi wanakufa shauri ya kuzembea kupima prostate zao kwa kuona 'haya':redfaces: ya kuchekiwa.
Dalili chache za ugonjwa, mkojo unatoka kwa shida, unapata shida kusimamisha ume, mkojo kwenye damu. Hamu ya kujamiana na mpenzi wako unapungua.
Tatizo Tanzania ni kuwa hatujazoea kufanya check-up, Tunakwenda hospitalini tukiona dalili ya ugonjwa.
Pamoja na maelezo na ushauri mzuri wa mleta mada,hoja je ni kweli hakuna vipimo vingine zaidi ya kutiana vidole.?
pata elimu hiyooUkitaka kujiwa ustaarab wa jamii fulani basi fuatilia mijadala yao. Hii mada imevuka mipaka na kukosa ustaarab kabisa.
MODs, tafadhali naomba muifute.