Trafiki Jasiri na Mchapa Kazi

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288


Askari huyu wa usalama barabarani huko Vietnam alihatarisha maisha yake pale alipodandia basi hili kwa mbele na kuling'ang'ania huku likiwa katika mwendo kasi baada ya dereva wake kugoma kupokea taarifa ya kupigwa faini (ticket) kwa kuendesha upande usioruhusiwa. Jamaa kweli anaipenda kazi yake. Tanzania tunahitaji trafiki kama huyu.
 
Mh! ujinga tu huo. Angeanguka akakanyagwa nalo? Si angenakili number za gari wakalifuatilie!!!! Although sijui system za police kukamata wahalifu barabarani, this is obviously insane.

Kwanza hii picha ya kweli?
 
ha ha ha ha ha ha njaa mbaya sana hapo anafukuzia buku tano
 
Mh! ujinga tu huo. Angeanguka akakanyagwa nalo? Si angenakili number za gari wakalifuatilie!!!! Although sijui system za police kukamata wahalifu barabarani, this is obviously insane.

Kwanza hii picha ya kweli?

Picha ni ya kweli mkuu. Mpaka video yake ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…