Interested
Member
- Sep 14, 2014
- 12
- 5
Msibishane na bei yake,ingieni www.tradecarview. Com price utakayoipata peleka kwa waaalam wa kodi wawape ushauri. Lakini ninavyojua mimi serikali huchukuwa sawa na gharama ya (ununuzi pamoja na usafirishaji) kama ushuru na kodi zote.Vitz iko vizuri mnoooo....ila nimeshangazwa sana na hiyo bei yake!!