sry ndogo saana, gar ipo kwenye hal nzur saaana
Yaani namba A vitz kwa bei hiyo?
utahangaika Sana mkuu
Mkuu ni kwel unacho sema bt nikuto kua na uelewa miongoni mwetu!! Plate note inaweza kuwa D bt condition ya gar ikapelekea iuzwe hata 3m, please kama unaitaj gar njoo kagua then ndo ufanye maamuz,