kama ni kule mpakani ni holiliKama ni Arusha.........!kenya.....horiri....
Fake document ndo huwa nasikiaga hivyo eti.
kama ni kule mpakani ni holili
Kama ni Arusha.........!kenya.....horiri....
Fake document ndo huwa nasikiaga hivyo eti.
Mkuu sijakuelewa, unavyosema fake documents holili unamaanisha nn?
Nilishauriwa nisije kuthubutu kununua gari arusha au moshi gari nyingi ni magumashi zimepigwa kenya zinaletwa huku kwetu kupitia magumashi na nishawahi thibitisha hilo ndg yangu ana gari kali arusha lakini halijawahi kutoka nje ya arusha aisee tuwe makini na hilo