Toyota Raum New Model

View attachment 756734
Latest one ni la 2009 Mkuu
Achana na huyo jamaa atakua na uzoefu wa Mikokoteni make hawezi kuwa serious eti New model ni 2003..
Naomba kuuliza,
Hii ya mwaka 2009 na ile ya Mwaka 2003 ukiacha tofauti ya mwaka kuna tofauti ingine yoyote kwenye body, ndani, engine, etc?
Manake isije ikawa ni hiyo hiyo ya mwaka 2003 imeendelea kutengenezwa mpaka mwaka 2009 mkasema ni toleo jingine
 
Tunasubiri wajibu
 

Mkuu tofauti zipo
Hakuna haja ya kueleza hapa but Nina experience na Raum
Mara ya kwanza nilitumia toleo la 2003 but now Nina 2009 so nafahamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…