geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
simu 0652 494919cc1750, petrol, km58,000, silver,inadaiwa tra300,000 imepata dhoruba upande wa kulia shavu la mbele na nyuma kidogo namba DFB inataka 9.5m mazungumzo yapo. nashindwa ku upload nadhan net haiko poa njoo watsap kwa pic
Kwa ni hujui kazi ya dalal au unaropoka tu kama umependa mpigie simu hili ni jukwaa la watu makin majungu nooWe ni dalali itakua
New model ya mwaka gan??
2002 mkuu
2002 new model???? na ya 2017 tuiteje??
Duh...JF mpaka raha. Bongo ukiambiwa gari ni mpya/new model maana yake imenunuliwa Japan! Tutafika tuu..
kweli mkuu lkn ndo general perception ya sisi watz na ukienda kinyume utasababisha mkanganyiko usio na sbb. karibu mkuu kitu ni new model!!!!