edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Mpigie mkuu. Hawezi kukubali hapa sebuleni. Mfate chumbaniLaki 5 inatosha?
Mkuu mbona unatutisha wenye plan ya kuagiza gari mwakani?Usiuze sa hivi subiri kwanza utaratibu mpya wa kuagiza magari uanze ndo utaiuza kwa hadi m 6 maana hakutakuwa na gari ya M10.MARK MY WORDS
Jiandae kisaikolojia kuagize probox na bebi walker kwa mil 18Mkuu mbona unatutisha wenye plan ya kuagiza gari mwakani?
Lengo ni nini hasa hadi wafanye hivyoJiandae kisaikolojia kuagize probox na bebi walker kwa mil 18
Lengo ni watu waishi kama mashetani.Lengo ni nini hasa hadi wafanye hivyo