Toyota ist inauzwa

Hapa nakupa 8M maana hujaweka Mileage yake ni ngapi (what is low mileage: is it bellow 50,000Km?)
 
Huyu jamaa bei zake?utafikiru showroom hatupafahamu? Mkija hapa late bei zinazosomeka sio kupoteza mb za watu!!
 
Huyu jamaa bei zake?utafikiru showroom hatupafahamu? Mkija hapa late bei zinazosomeka sio kupoteza mb za watu!!
Tena kwa hizo Rim hii gari atakaa nayo sana aisee kwa hiyo bei
 
Badili kwanza rim weka sport ndo uje Na bei hiyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…