reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
habari wapendwa..km heading inavyojieleza nahitaji toyota ist iliyo katika hali nzuri ningependelea haswa namba c au d budget yangu
ni 7.5m. km utahitaji tufanye biashara unaweza kunipm..Mungu awabariki wote
Mkuu weka picha tafadhali au nipmuko mkoa gani mim nina namba D ila nipo singida naiuza 6.7m
Shiriki shindano la Airtel
uko mkoa gani mim nina namba D ila nipo singida naiuza 6.7m
nimekupm namba km vp nitumie pics whatsapp
Habari wapendwa kama heading inavyojieleza nahitaji toyota ist iliyo katika hali nzuri ningependelea haswa namba c au d budget yangu
ni 7.5m. kama utahitaji tufanye biashara unaweza kuniPM
Mungu awabariki wote
ulipata IST? ipo moja nyeusi namba c imenyoka safi inataka 8M cash.
Madalali huwa hamchagui kazi?
vipi, unataka kunipa kazi mkuu? we lete tu, hata kama una meli ya mafuta unauza sema tukutaftie wadau, mimi sitii hata senti juu, utanilipa asilimia tutayoelewana kama huduma ya kukuletea mteja.
Kasoro vifaa vya kijeshi na nyara za serikali tu mkuu, kitu kingine chochote mwendo mdundo!Duh, hadi meli za mafuta kabisa?