Iwe single cabin model ile ya 2.8
Namba yoyote,gari iwe inatumia disel,gari iwe nzimaa
Offre ya mnunuzi ni mln 8 mpk 9mln
Kama kuna mtu anayo au anamfahamu mtu ambaye anayo tuwasiliane nkunganishe na mnunuzi ambaye yupo dar..
Itakuwa vizuri ukitupia picha humu
0715591141 tuwasiliane
Ova