1. Badilisha kichwa cha habari kiendane na lengo lako la ujumbe.
2. Tangazo lako ni incomplete 100%
3. Weka picha, specifications, reasons za kuuza.
4. Be a little bit serious, pia compare tangazo lako na wenzako wanaouza magari humu.