Kubwalijalo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 364
- 290
Wakati utakapo ipeleka Dar inamaana unafanyia usajili mpya na usajili wa namba ni elfu 70,000.Hivi hizo namba za Zenji kuibadili si lazima TRA wavute kodi tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati utakapo ipeleka Dar inamaana unafanyia usajili mpya na usajili wa namba ni elfu 70,000.
Lazima wakushughulikie kisawasawaHivi hizo namba za Zenji kuibadili si lazima TRA wavute kodi tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaLazima wakushughulikie kisawasawa
.
Maendeleo hayana Harrier
12M lete
12M lete
Hilo suala lako ingelikuwa vizuri ungelimuuliza waziri mkuu mstaaf Mh. MIZENGO PINDA.