umeonaee, mwambie apitie mtandao wa kupatana.com utakuta kama hiyo inauzwa mpaka 4mgx 100 et 8.5m?!!! hyo hta 4.5 kumpata mteja ni kazi kubwa sana.
mkuu umefanya research kwanza kabla ya kuweka hiyo bei? ni kubwa sana embu pitia mtandao wa kupatana.com uone bei zilivyoMake : Toyota
model : Cresta
color: Pearl
year of manufacture ; 1999
engine : 1g6619635
cc : 1980
fuel : Petrol
km 56,000
going very cheap! Only 8.55 millions
just pm or call 0658 554 992 serious buyer only. Please
c bora ninunue mpya sasa
Biashara kichaa,angalau ungeanza 6m ukashuka hadi 5.
Lakini from 11 we unafikiria nani atakupiga.
Bei ya awali ndio inampa picha mhusika apige au sipige.
Wazo lako zuri na ndio maana Membr nao wanakushauri kuwa GX 100 inabwia petrol hasa kwani zina 6cylinderWakuu nimewaelewa lakini mnategemea biashara nianzie bei ya kuuzia?
Kama mtu yupo serious anipigie tuongee na aione gari ndio aanze kutoa comments zake.
Biashara kichaa,angalau ungeanza 6m ukashuka hadi 5.
Lakini from 11 we unafikiria nani atakupiga.
Bei ya awali ndio inampa picha mhusika apige au sipige.
Mganga wako mzuri mkuu,Soma vizuri advert yangu , bei ya kuanzia ilikuwa 8.5
After all nimekwisha uza kwa 7 mln kwa muhitaji wa ukweli
Mganga wako mzuri mkuu,