JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Jan 18, 2012 #1 Toyota fun cargo rangi ya silva, cc 1300 ya mwaka 2002 iko kwenye hali nzuri bei maelewano tuwasiliane 0713 781 781 au 0786 544700
Toyota fun cargo rangi ya silva, cc 1300 ya mwaka 2002 iko kwenye hali nzuri bei maelewano tuwasiliane 0713 781 781 au 0786 544700
Lyceum JF-Expert Member Joined Oct 1, 2009 Posts 1,046 Reaction score 568 Jan 18, 2012 #2 Jiwe Linaloishi said: Toyota fun cargo rangi ya silva, cc 1300 ya mwaka 2002 iko kwenye hali nzuri bei maelewano tuwasiliane 0713 781 781 au 0786 544700 Click to expand... Weka picha na specifications nyingine mkuu
Jiwe Linaloishi said: Toyota fun cargo rangi ya silva, cc 1300 ya mwaka 2002 iko kwenye hali nzuri bei maelewano tuwasiliane 0713 781 781 au 0786 544700 Click to expand... Weka picha na specifications nyingine mkuu
P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 104 Jan 18, 2012 #3 weka picha na bei!maelewano ndio nn?weka hata milion 10 hv afu mtu anaomba apunguziwe!ndio b'ness hiyo!
weka picha na bei!maelewano ndio nn?weka hata milion 10 hv afu mtu anaomba apunguziwe!ndio b'ness hiyo!
V Vakwavwe JF-Expert Member Joined May 16, 2009 Posts 503 Reaction score 100 Jan 19, 2012 #4 sema bei ndugu....nahitaji gari ndogo ila ya bei rahisi.