Petiro JF-Expert Member Nov 12, 2010 309 45 Apr 12, 2011 #1 Nauza daladala Toyota DCM lina ruti ya Tabata - Posta. Linatembea, limefungwa tairi mpya na liko kwenye hali nzuri (Engine+Body+Rangi+Seat Cover). Bei 25m (maelewano yako). Mawasiliano ni 0773 030496 / 07777 33460
Nauza daladala Toyota DCM lina ruti ya Tabata - Posta. Linatembea, limefungwa tairi mpya na liko kwenye hali nzuri (Engine+Body+Rangi+Seat Cover). Bei 25m (maelewano yako). Mawasiliano ni 0773 030496 / 07777 33460
1 123 Member Feb 16, 2011 82 9 Apr 14, 2011 #3 Usihofu kaka DCM ni gari ya kazi ngoja nitafute wateja.