Make : Toyota
Model : Crown
Mileage : 142,000 km
Engine size : 2990cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : two wheels drive (2WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : Silver
Manufactured year/month : 2005/5
Door : 4
Seat : 5
FEATURES
Airbag *
Air conditioner *
Power Steering *
Power windows *
Power Door *View attachment 359095View attachment 359096View attachment 359097View attachment 359098View attachment 359099
Alloy Wheels *
Rear Spoiler *
Aero *
NavigatIon*
FOG HID * B-MONITOR *
P-SEAT * P-START*
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru [emoji736]
Port charges [emoji736]
Agency fees [emoji736]
Marine insurance [emoji736]
registration [emoji736]
Bima ya barabarani [emoji777]
ecarstanzania@gmail.com
Karibu!
Sio chini ya 22Mmaelezo mengi lakini bei ndio hakuna.
swissme
And that is not true!Labda uwe una miliki kituo chako mwenyewe cha mafuta ndo uta afford cc hizo
Hawajui kuwa mfumo wa engine za kisasa hata kama cc ni kubwa lakini inatumia mafuta kidogo.And that is not true!
Sidhani hawa wore walio na crown wanavituo vyao vya mafuta.
Hii 'Tisha-tisha' ilianziaga zamani kidogo, kwa waliokua wanataka kumiriki brevis, wengi waliambiwa brevis inakula mafuta. Kuna waliochukulia sawa na kuna walio ignore pia.
End of the day, brevis zimekua nyingi and still zinazidi.
Na kwa walio wahi endesha brevis ama kwa hakika wanaweza sema uzuri wa ile gari.
Kabla sijakupinga niambie hiyo gari ni 4AT au CVT engine??Hawajui kuwa mfumo wa engine za kisasa hata kama cc ni kubwa lakini inatumia mafuta kidogo.
It wasn't said by literal meaning, it was just a figure of speech, but thanks for your elaborated input anyway.And that is not true!