Gari tajwa hapo juu inauzwa inatembea vizuri tu inafanya kazi zake kati ya mabibo na makumbusho na vibali vyake vyote viko valid kuanzia TLB, Insurance na Road license, bei ni milion kumi na tano tu ila maongezi yapo.
Mawasiliano +255655032181 au +255753727265