dalali maridadi
Member
- Sep 13, 2015
- 49
- 29
Point.Sijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.
Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.
Gari BREVIS inauzwa kwa 2.0m TZS kiroho safiSijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.
Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.
kubadilishana na simu iphone 12 pro max unakubaliGari BREVIS inauzwa kwa 2.0m TZS kiroho safi
View attachment 1942679
View attachment 1942683
View attachment 1942687
Uko serious mkuu?Gari BREVIS inauzwa kwa 2.0m TZS kiroho safi
View attachment 1942679
View attachment 1942683
View attachment 1942687
Wewe do haupo seriousUko serious mkuu?
okWewe do haupo serious
Weka mawasiliano hapa nije nimchukue huyu jini mnyonya damu sasa hivi. Milioni 2!!!!Gari BREVIS inauzwa kwa 2.0m TZS kiroho safi
View attachment 1942679
View attachment 1942683
View attachment 1942687
Ukipost biashara JF inabidi uwe na moyo wa chumaSijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.
Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.
Asante kwa ushauriSijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.
Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.
Weka nambaGari BREVIS inauzwa kwa 2.0m TZS kiroho safi
View attachment 1942679
View attachment 1942683
View attachment 1942687
IshauzwaWeka namba
Hakuna kitu kama hicho,kaandika tu ili mradi amharibie mleta mada.Weka mawasiliano hapa nije nimchukue huyu jini mnyonya damu sasa hivi. Milioni 2!!!!
Langu niliuza Kwa 1.5m na jamaa alinilipa 300k tu tangu 2017 hajamalizia balanceSijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.
Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.