Gari ya cc 900, 1200, 1500 inachoka zaidi ukilinganisha na gari ya cc 2000,2500, 2700, 3000 etc. yani namaanisha;
Ikiwa gari zote (cc 900) na cc. 3000 zimesafiri km 160,000,.gari nzima hapo ni ile ya cc 3000. Ni kama mtoto na mtu mzima wamesafiri umbal sawa, atakaechoka mapema ni mtoto hata kama wote watafika km 160,000[emoji1495]