Punguza au acha kabisa ulaji wa vyakula vyenye cholesterol mf. Vyakula vyote vinavyotokana na wanyama na ndege kama maziwa, nyama, cheese, mayai, nk pia punguza samaki.
#kula vyakula vya asili
# Mafuta ya kupikia mafuta ambayo yanakolestro level ya chini sana ni ufuta, kwenye, nazi, alizeti.
#Funga au punguza kula mlo Moja au miwili usiku waweza kula matunda na salad. Pia punguza kiasi Cha chakula/ ratio. {Unaweza Fanya water fasting}
# Fanya mazoezi utoke jasho anza mazoezi mepesi angalau 15min/day kutengeneza tabia hii anza taratibu then utazoea
# Nithamu ya kufanya haya yote chaguo ni lako