Kim Jackinho Member Joined Dec 17, 2018 Posts 64 Reaction score 37 Jan 16, 2020 #1 Habari wana JF. Nilikuwa naomba msaada wa ushauri na tiba ya maumivu ya kiuno. Kama mwezi sasa napata maumivu ya kiuno ila sijajua chanzo chake nini. Nakaribisha ushauri wenu,,Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF. Nilikuwa naomba msaada wa ushauri na tiba ya maumivu ya kiuno. Kama mwezi sasa napata maumivu ya kiuno ila sijajua chanzo chake nini. Nakaribisha ushauri wenu,,Asante. Sent using Jamii Forums mobile app