Ukweli ni mchungu
TV ni kioo kama kioo kimeungua basi hutoweza kuuza
Kama mteja ataitaka labda ana kioo chake ndio akupe laki
Ili upate hela nzuri tafuta fundi uwe nane karibu uuze vifaa vya ndani ya TV
Ila kama hana kioo atalazimika kununua Kioo kwa bei sawa na TV kitu ambacho si kweli.
Juzi hapo kuna nchi 85 smart tv jamaa ananibembeleza mpaka laki na nimekataa, TV ambayo mpya inauzwa million 5 fikiria mtu anauza laki moja. .
View attachment 2233031