Isma le ibuh
Member
- Oct 4, 2017
- 36
- 12
Kama hujapata kwanini unaiuza?Cjapata bado cm ya kutumia
Hayo ni matakataka ya Kichina,rahisi ni gharama.Pia sio tatizo la kuhariba labda nitatizo la cm k9 nyingi zinasumbua camera ni software problem sio hardware
Hairekebishiki kamwe,hiyo ni software problem.Peleka wairekebishe kwanza acha sanaa
Rekebisha uniuzie tena ongeza beiInarekebishika sana tu
Wewe unajua maana yake?elezeaUnajua software ni nn
hahahaha , utakua samsung fanatic wewe, subiri wadau wa tecno waje!Hayo ni matakataka ya Kichina,rahisi ni gharama.
Sasa software haiwi replaced? Umekula?Hairekebishiki kamwe,hiyo ni software problem.