kuna wadau wengine humu ndani wanaona ni michezo kupost vitu na wakati hawana mizgo yenyewe.kazi ni kuzngua zngua tu..anaanzisha uzi anapotea.
kama bdo kuna mdau anahitaji p5 me ninayo....dar...
0654715457
145 tu.....nimeitumia kwa wiki 3tu...ina kira kitu chake had risiti.