Tecno M3 inahitajika

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
Habari wakuu,

Natafuta simu aina ya tecno m3 iwe kwenye hali nzuri, bajeti yangu ni Shilingi 80,000/=
 
Ipo hapa ila kwa elfu 90.uko wap??
 
Nikikumbuka tecno nakufa mbavuuuu
 
ipo H5. bei. 100. bado mpya
 
Mi ninayo hiyo Techno M3. Bado mpya kabisa. imetumika kwa miezi miwili tu. Nakupa hadi na box lake. IPO na kila kitu chake ( cover na earphone zake. charger yake tu ndo sina niliiunguzaga )

ni PM kwa mwenye kuhitaji.

Bei Laki moja.

NB : Bei haipungui hata senti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…