Tecno h6 for sell Dar tu

Nipe 160,000/ nkuletee iliyopo kwenye box
 
Mpya laki na thelathini we unauza used 155000 hatari Sana but take Kova's advice about smart phone
 
Dizzle kiraka - hata agent wa Tanzania hauzi 130,000 ... Jamani kama hamjui bei za simu itakuwa vizuri mchunguze kwanza kisha ndiyo muanze kuongea ...

IDD - ulizia bei kisha ndiyo uanze ku comment ... Agent wa Tanzania mwenyewe hauzi 155,000 ... Usidanganye watu eti waende stand ...
 
Acheni kudanganyana ... Agent wa Tanzania mwenyewe hauzi 155,000 ... Sisi tunauza simu kwa jumla na bei zote nazijua ... Sisi tunanunua simu kwa carton kwa agent wa Tanzania ... Maasai King unapotosha watu
 
Sijaelewa tafsiri yako ya kupotosha Munawar
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…