Chimulenge
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 219
- 150
Aya mkuu nenda, hamna shidahiyo bei si bora niende dukani tuu.
njoo nikuachie yangu mkuuMimi natafuta techno C8 nna 150... Ni pm tufanye biashara leo leo.
Nipe namba yako nikuchek baadae.njoo nikuachie yangu mkuu
Umegundua mapungufu gani hadi uamue kuiuza?Simu tajwa hapo juu inauzwa ina wiki tatu tangu inunuliwe, ina kila kitu chake rist ya kununulia, warrant yani ni fuul box bei ni laki 320k kwa anaehitaji pm au nipigie 0625655771 anytime tufanye biashara.
Upo Arusha?Mimi natafuta techno C8 nna 150... Ni pm tufanye biashara leo leo.
Naiuza kwa sababu kuna mtu anauza bajaji nataka kuinunua, ila hela imepungua ndo maana naiuzaUmegundua mapungufu gani hadi uamue kuiuza?