ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
tafuta asali changanya na mdalasini mchanganyiko wote hou weka kwenye maji ya moto,unywe asubuhi kabla ujapiga mswaki na wakati wa kulala ni dawa tosha
Pole sana mie huwa inakaza chini kabisa ya miguu na kwenye vidole na nikijaribu kuwa kama navinyoosha
kwenda chini kama hiyp pic inavyoonesha vinakakamaa kwa muda na nasikia maumivu makali kabla havijarudi katika hali yake,sijui shida ni nini mwanzoni nilidhani ni sababu ya viatu virefu nikaacha lakin bado hali ni ilie ile I hope kupitia thread nitapata msaada pia
View attachment 133941
tafuta asali changanya na mdalasini mchanganyiko wote hou weka kwenye maji ya moto,unywe asubuhi kabla ujapiga mswaki na wakati wa kulala ni dawa tosha
Na huo mdalasini wa unga auunakunywa kiasi gani!!!!!!!
Mm mwenyew nilijua viatu nikaacha ila bado ....pole sanaPole sana mie huwa inakaza chini kabisa ya miguu na kwenye vidole na nikijaribu kuwa kama navinyoosha
kwenda chini kama hiyp pic inavyoonesha vinakakamaa kwa muda na nasikia maumivu makali kabla havijarudi katika hali yake,sijui shida ni nini mwanzoni nilidhani ni sababu ya viatu virefu nikaacha lakin bado hali ni ilie ile I hope kupitia thread nitapata msaada pia
View attachment 133941
Vipi mkuu tatizo lako liliisha au bado unasumbuliwa mpaka sasa?Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa, huwa linakuja na kuondoka lakini kwasasa naona linataka kuwa sugu. Kuna wakati nikiwa nimelala tu usiku basi misuli inakaza kwa nguvu na kuleta maumivu makali sana hasa misuli ya paja na ile ya nyuma ya ugoko, naomba ushauri wa kitabibu kujua hiki ni kitu gani na tiba yake ikoje. Mimi si mtu wa mazoezi sana na nikifanya mazoezi basi ni ya kunyanyua vitu vizito mara chache.
Vipi mkuu tatizo lako liliisha au bado unasumbuliwa mpaka sasa?
Okay good!Kuna mtu alinishauri kufanya mazoezi ya kukimbia na kuruka kamba atleast kwa mwezi mfululizo nione matokeo yake, kwakweli ilinisaidia sana kupunguza tatizo. Naweza kusema limepungua kwa kiasi kikubwa sana. Nafikiri pia uzito ulichangia sana kwa upande wangu maana tangu nilipoonza kufanya mazoezi na taratibu nyingine za kupunguza uzito hali imekuwa nzuri zaidi.