Tatizo la maumivu ukeni.

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
375
Reaction score
707
Mke wangu anaumia tukiwa tunagegegana
Goli la kwana anavumilia lakin la pili mapema tu dk haiishi analalamika naumia.

Jeh tatzo inaweza kuwa nin wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hapo angalia vizuri Kuna mchizi mmoja. Ndiyo alikuwa Anapewa talaka na demu wake kwa kumuongopea Kama hivyo, kumbe demu alikuwa kashapata mwingine

Ni maoni tu ila madaktari wanakuja soon kutoka Ubelgiji
 
Kuna demu alikuwa hivyo hivyo tangu namtoka bk ikabidi niachane nae, sijui tatizo ni nini haswa?
 
Mke wangu anaumia tukiwa tunagegegana
Goli la kwana anavumilia lakin la pili mapema tu dk haiishi analalamika naumia.

Jeh tatzo inaweza kuwa nin wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok pole sana kwa tatizo hilo,matatizo kama hayo huwakumba wanawake wengi kwa tatizo hilo atakua na fungus,dawa nyingi zinazo tibu tatizo hilo la uke kuwa mkavu na watu wamepona moja wapo inaitwa FERMICARE Nimethibitishiwa wengi wamepona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…