Jamani well siwafaham economics intelligents units lakini nashukuru kwa kujifunza. Kurank nchi kwenda kwenye emerging kuna factors zake. Mfano World Bank wanaangalia GDP per capital na list inakuwa revised kila mwaka kuanzia advanced to developing countries. IFM wao wanaangalia vitu vingi kuanzia social na aspects za economics km GNI, education etc. lakini hili la Tanzania kuwa emerging binafsi pia limenishtua. Nafaham kuna nchi zipo middle east na sasa hivi kuna debate inaendelea kama ni emerging au si emerging.
My take katika pitapita yangu.
There is no universal definition for emerging markets. Kuna watu wanajitahidi kuangalia GNI na kufactor out inflation etc. But la Tanzania kuwa emerging Mh nina doubt saaana.
Hii ni list ya FTSE emerging na MSCI. Kuna haja ya kutafuta chanzo cha habari. Maani nchi haina hata soko la hisa, inflation inakuwa, higher empoloyment, GDP of around 500. Mh hii ni habari tata ya mwaka 2010 na ndio tatizo la kufanyiwa vitu vyetu na watu wasioijua nchi.
FTSE emerging markets list
The
Advanced Emerging markets are:
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Brazil"]
Brazil[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Hungary"]
Hungary[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Mexico"]
Mexico[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Poland"]
Poland[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/South_Africa"]
South Africa[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Republic_of_China"]
Taiwan[/ame].
[13]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Argentina"]
Argentina[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Chile"]
Chile[/ame]
China,
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Colombia"]
Colombia[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Czech_Republic"]
Czech Republic[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Egypt"]
Egypt[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/India"]
India[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Indonesia"]
Indonesia[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Malaysia"]
Malaysia[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Morocco"]
Morocco[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Pakistan"]
Pakistan[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Peru"]
Peru[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Philippines"]
Philippines[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Romania"]
Romania[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Russia"]
Russia[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Thailand"]
Thailand[/ame],
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Turkey"]
Turkey[/ame].
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/United_Arab_Emirates"]
United Arab Emirates[/ame]
MSCI list yao inafanana na hii. Source wikipedia