N new jf New Member Joined Aug 21, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Aug 25, 2014 #1 Jamani wana JF kuna laptop inauzwa bei nzuri sana, HDD 250gb, RAM 1gb, PROCESSOR DUO ni Compaq model mpya kabisa kwa bei ya maelewano. mawasiliano ni 0764995336 Karibu
Jamani wana JF kuna laptop inauzwa bei nzuri sana, HDD 250gb, RAM 1gb, PROCESSOR DUO ni Compaq model mpya kabisa kwa bei ya maelewano. mawasiliano ni 0764995336 Karibu
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,373 Reaction score 4,141 Aug 25, 2014 #2 Weka picha yake na bei mkuu, hii biashara ya kuweka namba ya simu tu imeshapitwa na wakati, utakesha hapa mwaka mzima hujapata mteja.
Weka picha yake na bei mkuu, hii biashara ya kuweka namba ya simu tu imeshapitwa na wakati, utakesha hapa mwaka mzima hujapata mteja.