Tangazo: Nyumba inauzwa

Avril

New Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Mahali ilipo: MBAGALA kimbangulile mtaa wa ghana,eneo ni kubwa nyumba
iko kwenye barabara ya mtaa kwa mjasiriamali/mfanyabiashara anaweza pia kujenga frame za biashara kwa mbele. kwa maelezo zaidi wasiliana namba: 0718927814
 
Na mimi nina Nyumba Gongo la Mboto naiuza
 
Biashara za kijinga hutangazwa kijinga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…