dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Gari iko wapi?Gari inauzwa Tsh 4.5m
Gari iko kwenye hali nzr kabisa na haina tatzo lolote.
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1225253View attachment 1225254View attachment 1225255View attachment 1225256
Dar tegetaGari iko wapi?
Kubebea mizigo midogo midogo dukaniMkuu hiyo gari..ilikua inatumikaje..na iko mkoa gani..?
Hapana mkuu,liko dar mkuuMkuu gari liko Kigoma?
Sawa mkuu ila inategemea kiko wapiMkuu tunaweza badilisha na kiwanja?
Karibu mkuu uione mengine tutaongea3.5m ipo nakupa 2m unabaki na kadi baada ya mwezi namalizia 1.5
Mkuu kiwanja kiko wapiMkuu tunaweza badilisha na kiwanja?
Tayari uza mkuuMkuu kiwanja kiko wapi
Oky sawa mkuuTayari uza mkuu