xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,290 Mar 18, 2015 #1 Ukubwa : sqm 1006 Kimepimwa kina ofa hati bado Sifa za kiwanja: Kipo metre chache Kutoka mradi wa NSSF wa Dege Kigamboni umbali wa km 18 kutoka feri Kipo umbali wa 2Km kutoka barabara kuu ya feri kimbiji Kipo umbali wa nusu kilomita kutoka baharini Bei: 19M maongezi yapo Kwa maongezi Zaidi nicheki pm, Kiwanja ni changu mwenyewe Kiwanja namna 2824 kama ilivyo Kwenye ramani chini View attachment 235670
Ukubwa : sqm 1006 Kimepimwa kina ofa hati bado Sifa za kiwanja: Kipo metre chache Kutoka mradi wa NSSF wa Dege Kigamboni umbali wa km 18 kutoka feri Kipo umbali wa 2Km kutoka barabara kuu ya feri kimbiji Kipo umbali wa nusu kilomita kutoka baharini Bei: 19M maongezi yapo Kwa maongezi Zaidi nicheki pm, Kiwanja ni changu mwenyewe Kiwanja namna 2824 kama ilivyo Kwenye ramani chini View attachment 235670
C chinasugal Member Joined Apr 13, 2014 Posts 38 Reaction score 6 Mar 18, 2015 #2 13 unachukua?ni pm namba yako
xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,290 Mar 18, 2015 Thread starter #3 chinasugal said: 13 unachukua?ni pm namba yako Click to expand... Upo chini sana mkuu, eneo ni potential Sana, ongeza 4 Hapo nikupe
chinasugal said: 13 unachukua?ni pm namba yako Click to expand... Upo chini sana mkuu, eneo ni potential Sana, ongeza 4 Hapo nikupe