"Retzer:...jamaa machale yamempanda nini?? mimi nimekuja na ki-surveillance kamera changu kumpiga picha na suit za Savile Row naona kanivalia Mao Suit, ngoja nijichekeshe tu hapa..."
"Mh. Sana:... mwone huyu, anafikiri wabongo hatuwajui njama zao, nimvalie suti zangu za ng'ambo akanifanye kituko huko makwao anak